“Wanangu wapendwa! Leo pia Yeye Aliye Juu anijalia neema ya kuwa pamoja nanyi na kuwaongoza mpate kutubu. Siku hata siku Mimi napanda mbegu na kuwaalika kutubu ili muweze kuwa sala, amani, upendo na ngano ambayo ikifa huzaa mara mia. Sipendi, wanangu wapendwa, mpate kujuta kwa yote mliyoweza kufanya wala hamkufanya. Kwa hiyo, enyi wanangu, tena kwa moyo wa furaha semeni: “ Nataka kuwa ishara kwa watu wengine”. Asanteni kwa kuitikia mwaliko wangu. ”
To compare Medjugorje messages with another language versions choose
“Bless and seek the wisdom of the Holy Spirit to lead you at this time so that you may comprehend and live in the grace of this time. Convert, little children, and kneel in the silence of your hearts. Put God in the center of your being so that, in that way, you can witness in joy the beauty that God continually gives in your life.”